azaelyderick@gmail.com +255 754 680 886 Ndolezi Mafinga Iringa, Tanzania Saturday 17th of April 2021 08:59:52 AMTaarifa Mpya
Tangazo la nafasi za masomo
MKUU WA CHUO CHA NEW MAFINGA HEALTH AND ALLIED INSTITUTE KILICHOSAJILIWA NA NACTE NAMBARI: REG /HAS/145, KWA USAJILI WA KUDUMU, ANAWATANGAZIA KOZI YA UUGUZI NA UKUNGA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA NA KOZI YA USTAWI WA JAMII NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MUHULA WA MWEZI MACHI NA SEPTEMBA, 2020/2021: CHUO KIPO MKOA WA IRINGA WILAYA YA MUFINDI, MJI WA MAFINGA, MTAA WA NDOLEZI KM 5 TOKA KITUO KIKUU CHA MABASI MAFINGA.  KWA MUOMBAJI WA KOZI YA UUGUZI NA UKUNGA SIFA: AWE NA UFAULU WA ANGALAU ‘D’ NNE (4) ZA BIOLOJIA, KEMIA NA FIZIKIA PAMOJA NA SOMO LOLOTE LILE ISIPKUWA MASOMO YA DINI  KWA MUOMBAJI WA KOZI YA USTAWI WA JAMII SIFA: AWE NA ‘D’ NNE (4) ZA MASOMO YOYOTE ISIPOKUWA SOMO LA ELIMU YA DINI KOZI HIZI, UDAHILI UNAFANYWA CHUONI KWA IDHINI YA NACTE. KWA URAHISI INGIA NA UOMBE MTANDAONI KUPITIA TOVUTI YA CHUO www.nemahuhai.ac.tz UDAHILI WA MWEZI MACHI UMEANZA TAYARI NA KARIBU KWA MAOMBI NA WANAFUNZI WATAANZA KURIPOTI NA KUSOMA KUANZIA 01/04/2021 NA MWISHO WA KURIPOTI 15/04/2021 WEBSITE: Tuma maombi yako kupitia mtandao Kwa kuingia www.nemahuhai.ac.tz WOTE WENYE SIFA WASILIANA NASI KWA NAMBARI ZA SIMU ZIFUATAZO; 0765 431 343 MKURUGENZI 0754 680 886 ADMISSION OFFICER 0763 777660-SIMU YA OFISI (KARANI WA CHUO) EMAIL: nemahuhai@yahoo.com i. GHARAMA ZETU NI NAFUU SANA- MALAZI NI BURE ii. USAFIRI KUJA CHUONI TOKA KITUO KIKUU CHA MABASI CHA MAFINGA TAXI, BAJAJI NA BODA BODA