NEW MAFINGA HEALTH AND ALLIED INSTITUTE (NEW MAFINGA)


Mpya...... Udahili awamu ya nne

Mkuu wa chuo cha afya New Mafinga, anawataarifu watu wote wenye kuwiwa kusomea kozi ya Uuguzi na Ukunga (Nursing and Midwifery) kutuma maombi yao chuoni kwa ajili ya kudahiliwa kuanza masomo kwa mhula wa Septemba 2019/2010 kama ilivyotangazwa na NACTE kupitia tovulti yao. Sifa za mwombaji ni awe na ufaulu wa D nne ambapo 3 kati ya hizo ni lazima ziwe za masomo ya sayansi (Physics, chemistry and biology). Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/11/2019. Kwa mawasiliano zaidi 0754 680 886PHONE NUMBERS

  • +255 763 777 660
  • +255 754 680 886

E-MAIL

  • nemahuhai@yahoo.com
  • azaelyderick@gmail.com