NEW MAFINGA HEALTH AND ALLIED INSTITUTE (NEW MAFINGA)


TAARIFA KWA WOTE WALIOOMBA KUSOMA KOZI YA UUGUZI

Uongozi wa Chuo cha Afya NEMAHUHAI (New Mafinga), unawatangazia wanafunzi/ wazazi waliotuma maombi ya kusoma kozi ya Uuguzi na Ukunga kuwa, muda wa kupokea maombi kwa mujibu wa NACTE umefungwa rasmi tarehe 2/9/2019. Ratiba inayofwata ni kuyapitia maombi na kuyawakilisha NACTE. Baadaye NACTE watayapitia majina hayo kama yamekidhi vigezo na kutoa ruhusa ya kuanza masomo. Majina ya wanafunzi waliokidhi vigezo katika kila chuo yatatolewa tar 5/10/2019. Asante na Karibuni Sana New Mafinga.PHONE NUMBERS

  • +255 763 777 660
  • +255 754 680 886

E-MAIL

  • nemahuhai@yahoo.com
  • azaelyderick@gmail.com