NEW MAFINGA HEALTH AND ALLIED INSTITUTE (NEW MAFINGA)


TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO

Kutokana na Baraza la Ufundi na Mafunzo(NACTE) kushusha viwango vya ufaulu vinavyompa sifa mwanafunzi kusomea masomo ya Uuguzi na Ukunga (Nursing and Midwifery) kuwa ni ufaulu wa angalau D kwenye masomo manne yasiyo ya kidini ikiwa ni pamoja na masomo ya Fizikia, Kemia na Baolojia, Hivyo Chuo Cha afya New Mafinga Kilichopo Mafinga mji, wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa, kinakutangazia nafasi za masomo ya Uuguzi na Ukunga ngazi ya cheti katika mhula wa masomo Septemba 2019/2020. Maombi yanapokelewa chuoni New Mafinga, au kwa kupiga simu namba 0754680886, na au kuomba kupitia tovuti hii kwa kubonyeza batani ya Application iliyopo kwenye menyu kuu hapo juu. Mwisho wa kutuma na kupokelewa maombi kwa mhula wa septemba ni tarehe 2/9/2019. Tafadhali, tumia nafasi yako kusoma New Mafinga Health And Allied Institute. Chuo kina sifa zote za kutoa mafunzo hayo kwani kimesajiriwa na kina miundombinu toshelezi kutoa mafunzo husika. Pia chuo kinatoa malazi bure kwa wanfunzi wote watakaopenda kukaa chuoni. Karibuni nyote New Mafinga.PHONE NUMBERS

  • +255 763 777 660
  • +255 754 680 886

E-MAIL

  • nemahuhai@yahoo.com
  • azaelyderick@gmail.com