NEW MAFINGA HEALTH AND ALLIED INSTITUTE (NEW MAFINGA)

About us

 • New Mafinga Health And Allied Institute (New Mafinga) ni chuo cha afya kilichopewa usajili wa kudumu na NACTE, usajili namba..... Chuo hiki kilianza kutoa mafunzo katika kozi za afya tangu mwaka 2012. Mpaka sasa chuo hiki kinatoa mafunzo katika kozi za Uuguzi na Ukunga ngazi ya cheti (Certificate in Nursing and Midwife), Huduma ya Afya ya jamii (Certificate in Community Health), Clinical Officer ngazi ya cheti na Pharmacy ngazi ya cheti. Mchanganuo wa kila kozi upo hapa chini kwenye jedwali.

  S/N JIna la Kozi Muda wa
  Kusoma(Miaka)
  Ada kwa Mwaka
  (Shilingi za Kitanzania)
  01 Technician Certificate in Nursing and Midwifery 2 1,100,000
  02 Basic Technician Certificate in Community Health 1 1,100,000
  02 Technician Certificate in Pharmacy 2 1,100,000

PHONE NUMBERS

 • +255 763 777 660
 • +255 754 680 886

E-MAIL

 • nemahuhai@yahoo.com
 • azaelyderick@gmail.com