azaelyderick@gmail.com +255 754 680 886 Ndolezi Mafinga Iringa, Tanzania Saturday 17th of April 2021 08:50:23 AM


About NEMAHUHAI

New Mafinga Health And Allied Institute (New Mafinga) ni chuo cha afya kilichopewa usajili wa kudumu na NACTE, usajili namba REG./HAS/145 kikiwa kinatambuliwa na TNMC. Chuo hiki kilianza kutoa mafunzo katika kozi za afya tangu mwaka 2012. Mpaka sasa chuo hiki kinatoa mafunzo katika kozi za Uuguzi na Ukunga ngazi ya cheti (Certificate in Nursing and Midwife), Huduma ya Afya ya jamii (Certificate in Community Health). Mchanganuo wa kila kozi upo hapa chini kwenye jedwali.


Certificate in
Community Health

Certificate in
Community Health

Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) Passes in non-religious Subjects


Duration: 1 Year.

Tuition Fee: NA

Diploma in
Social Work

Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) Passes in non-religious Subjects


Duration: 3 Years.

Tuition Fee: Tsh 650,000

Diploma in
Nursing and Midwife

Requirements:
Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) Passes in non-religious Subjects including physics, chemistry and biology


Duration: 3 Years.

Tuition Fee: Tsh 1,100,000